Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dirisha limefungwa.. walioingia na kutoka Ligi Kuu Bara

Tuisila Yanga Dirisha limefungwa.. walioingia na kutoka Ligi Kuu Bara

Sat, 3 Sep 2022 Chanzo: Mwanaspoti

Dirisha la usajili Ligi Kuu Bara na mashindano mengine ya ndani limefungwa rasmi jana Jumatano huku klabu zikivuta silaha mpya na kuwaacha wachezaji nia ya kuimarisha vikosi vyao. Mwanaspoti linakuletea sajili zilizokamilika kwa nyota wapya kwa kila klabu na wale ambao wamepewa mkono wa kwaheri.

AZAM FC

WALIOINGIA

Kipre Junior (Sol FC), Tape Edinho (ES Bafing), Isah Ndala (Plateau), Cleophace Mkandala (Dodoma Jiji), Abdul Suleiman ‘Sopu’ (Coastal Union), Nathaniel Chilambo (Ruvu Shooting), Ali Ahamada (Sportsklubben Brann), James Akaminko (Great Olympic) na Malickou Ndoye (Teungueth FC).

WALIOTOKA

Yvan Mballa (haifahamiki), Mudathir Yahya (haifahamiki), Charles Zulu (haifahamiki), Paul Katema (haifahamiki), Never Tigere (Ihefu), Nicholaus Wadada (Ihefu), Mathias Kigonya (haifahamiki), Paul Peter (Dodoma Jiji), Khlefin Hamdoun ‘Finito’ (haifahamiki), Abdul Omary ‘Hamahama’ (Namungo), Iddi Kipagwile (Polisi Tanzania), Awesu Awesu (KMC), Emmanuel Charles (Namungo) na David Kissu ‘Mapigano’ (KMC)

SINGIDA BIG STARS

WALIOINGIA

Aziz Andambwile (Mbeya City), Paul Godfrey ‘Boxer’, Yassin Mustapha na Deus Kaseke (Yanga), Kelvin Sabato (Mtibwa Sugar), Abdulmajid Mangalo (Biashara United), Metacha Mnata (Polisi Tanzania), Said Ndemla (Mtibwa Sugar), Benedict Haule (Azam FC), Miguel Escobar (Club General Caballero).

Wengine ni, Pascal Wawa (Simba), Khomeiny Aboubakar (Geita Gold), Meddie Kagere (Simba) na Dario Frederico (Huru), Bruno Gomes (Rivers United), Joao Oliviera (huru), Peterson Cruz (Clube Desportivo das Aves), Carno Biemes (Jeunesse Sportive de Kinshasa).

WALIOTOKA

James Kotei (Mtibwa Sugar kwa mkopo).

SIMBA

WALIOINGIA

Moses Phiri (Zanaco), Nassoro Kapama (Kagera Sugar), Habib Kyombo (Mbeya Kwanza), Victor Akpan (Coastal Union), Nelson Okwa (Rivers United), Augustine Okrah (Bechem United), Mohammed Quattara (Al Hilal) na Dejan Georgijevic (NK Domzale).

WALIOTOKA

Bernard Morrison (Yanga), Yusufu Mhilu (Kagera Sugar), Taddeo Lwanga (AS Arta Solar7), Meddie Kagere, Pascal Wawa (Singida BS), Chris Mugalu (Al-Quwa Al-Jawiya), David Kameta ‘Duchu’ na Charles Ilamfya (Mtibwa Sugar).

WALIOINGIA

YANGA

Lazarous Kambole (Kaizer Chiefs), Bernard Morrison (Simba), Stephane Aziz Ki (ASEC Mimosas), Joyce Lomalisa (G.D. Sagrada Esperança) na Gael Bigirimana (Glentoran FC).

WALIOTOKA

Yassin Mustapha, Deus Kaseke, Paul Godfrey ‘Boxer’ (Singida BS) na Balama Mapinduzi (Mtibwa Sugar).

DODOMA JIJI

WALIOINGIA

Collins Opare, Daniel Mgore, Christian Zigah (Biashara United), Hassan Mwaterema (Kagera Sugar), Jimmy Shoji (Mbeya Kwanza), Randy Bangala (TP Les Croyant), Aman Kyata (Coastal Union) na Paul Peter (Azam FC).

Wengine ni, Rashid Chambo (Coastal Union), Mwana Kibuta (AS Dauphin Noir), Hassan Kessy (KMC), Salum Kihimbwa (Mtibwa Sugar), Muhsin Malima (Coastal Union) na Aaron Kalambo (Geita Gold).

WALIOTOKA

George Amani Wawa (Geita Gold), Omary Kanyoro (haijafahamika), James Gubes (haijafahamika), Mohamed Yusuph (haijafahamika), Jamal Mtegeta (Polisi TZ), Steven Mganga (Haijafahamika), Omary Daga (haijafahamika), Issa Abushehe (Coastal Union), Hussein Masalanga (Ruvu Shooting), Khamis Mcha (TZ Prisons), Hassan Nassoro ‘Machezo’ (Mbeya City) na Waziri Junior ‘Shentembo’ (KMC).

POLISI TANZANIA

WALIOINGIA

Ambroce Awio (Biashara United), Fredy Tangalo (Namungo), Omar Chibada (Biashara United), Iddi Kipagwile (Azam FC), Salum Chuku, Hamis Kanduru, James Mwasote (Mbeya Kwanza), Salum Idrisa Chau, Salum Kipemba (Coastal Union), Jamal Mtegeta (Dodoma Jiji), Hassan Kapona (Huru) na Chilo Mkama (Geita Gold).

WALIOTOKA

Datius Peter (Kagera Sugar), Kassim Haruna (Namungo), Daruweshi Saliboko (KMC), Kilaza Mazoe (Haijafahamika), Salum Milinge (haijafahamika), Deusdedity Cosmas, Hussein Bakari (Geita Gold), Tariq Seif (Mbeya City), Msafiri Mkumbo (haijafahamika), Adam Adam (Mtibwa Sugar), Said Makapu (Ihefu) na Metacha Mnata (Singida BS)

KAGERA SUGAR

WALIOINGIA

Mpapi Nassib (Biashara United), Anuary Jabir (Dodoma Jiji), Datius Peter (Polisi Tanzania), Deogratius Mafie (Biashara United), Yusuf Mhilu (Simba), Abdulaziz Makame (Namungo), Edgar William (Mbeya Kwanza), Laurent Alfred (Azam FC) na Deus Bukenya (Express FC).

WALIOTOKA

Hassan Mwaterema (Dodoma Jiji), Nassoro Kapama (Simba), Erick Kyaruzi (Haijafahamika), Sadat Mohamed (Ruvu Shooting), Yusuph Mlipili (TZ Prisons), Cosmas Lewis (Haijafahamika), Petter Mwalyanzi (Ihefu), Jordan John (Haijafahamika), Nurdin Barola (KMC) na Mwaita Gereza (Ihefu)

IHEFU FC

WALIOINGIA

James Ssetuba (Biashara United), Said Makapu (Polisi Tanzania), Lenny Kissu (Biashara United), Papy Tshishimbi (Kitayosce), Juma Nyosso (Geita Gold), Obrey Chirwa (Namungo), Nicholaus Wadada, Never Tigere (Azam FC), Jaffar Kibaya, Shaban Kado (Mtibwa Sugar), Ally Ramadhani ‘Oviedo’ (KMC), Mwaita Gereza na Peter Mwalyanzi (Kagera Sugar).

WALIOTOKA

Ernest Mwalupani (Haijafahamika), Willy Mgaya (Haijafahamika), Erick Msagati (Haijafahamika), Adam Oseja (Haijafahamika), Andrew Kayuni (Haijafahamika), Abuu Ubwa (Haijafahamika), Evarist Mjwahuki (Haijafahamika), Nelson Ruta (Mbeya City), Shaban William (Haijafahamika), Khalifan Twenye (Haijafahamika), Isihaka Joseph (Haijafahamika) na Oscar Mwambinga (Haijafahamika).

COASTAL UNION

WALIOINGIA

Optatus Lupekenya (KMKM), Maabad Maulidi (KVZ), Olatoundji Djibril (ASVO Benin), Mahamoud Mroivili (Coin Nord Mitsamiouli), Khatib Kombo (Kipanga), Mukanisa Pembele (Simba Kamikaze Kolwezi), Firdaus Seif Amour (Taifa Jang’ombe)

Bertrand Ngafei Konfor (Gor Mahia), Nimubona Emery (Kayanza United FC) Issa Abushehe (Dodoma Jiji), Hamad Majimengi (Ruvu Shooting) na Msati Kassim Gabo (Malindi FC).

WALIOTOKA

Abdul Suleiman ‘Sopu’ (Azam), Salum Idrisa Chau, Salum Kipemba (Polisi Tanzania), Rashid Chambo, Muhsin Malima, Aman Kyata (Dodoma Jiji), Victor Akpan (Simba), Haji Ugando (Ruvu Shooting), Mussa Mbisa, Edwin Charles Balua (Tz Prisons), Pascal Kitenge (Mtibwa Sugar).

NAMUNGO

WALIOINGIA

Pius Buswita (Ruvu Shooting), Kassim Haruna (Polisi Tanzania), Hassan Kabunda (KMC), Abdul Omary ‘Hamahama’ (Azam FC) James Mwashinga (Biashara United), Deogratius Munishi ‘Dida’ (Mbeya City), Christopher Oruchum (Tusker FC), Alidor Kayembe (Red Arrows), Emmanuel Asante (Bechem United) na Seidou Blandja (Mbabane Swallows).

WALIOTOKA

David Molinga ‘Falcao’ (Haijafahamika), Bigirimana Blaise, David Kissu (KMC), Fredy Tangalo (Polisi Tanzania), Sixtus Sabilo (Mbeya City), Vicent Philipo Mayombya (Haijafahamika), Haruna Shamte (Geita Gold), Abdulaziz Makame (Kagera Sugar) na Obrey Chirwa (Ihefu).

GEITA GOLD

WALIOINGIA

Ramadhan Chombo (Biashara United), Yahya Mbegu, Hussein Bakari (Polisi Tanzania), Haruna Shamte (Namungo), Seleman Ibrahim ‘Boban’ (Mbeya City), Juma Liuzio (Mbeya City), George Wawa (Dodoma Jiji), Arakaza MacArthur (Lusaka Dynamos), Oscar Masai (Azam FC), Miraji Athuman ‘Sheva’ (KMC), Shown Oduro (Indeni FC) na Mbaya Kayembe (Don Bosco) na Saido Ntibazonkiza (Huru).

WALIOTOKA

Khomeiny Aboubakar (Singida BS), Aaron Kalambo (Dodoma Jiji), Juma Nyosso (Ihefu) na Chilo Mkama (Polisi Tanzania).

RUVU SHOOTING

WALIOINGIA

Kenan Mwelukilwa (Kitayosce), Hussein Masalanga (Dodoma Jiji), Masoud Abdallah ‘Dondola’ (KMC), Michael Aidan (JKT Tanzania), Mpoki Mwakinyuke (Mbeya City), Ally Bilaly, Frank Nchimbi (JKT Tanzania), Haji Ugando (Coastal Union) na Salum Kipaga (Biashara United), Rolland Msonjo (Mbeya Kwanza).

WALIOTOKA

Mohamed Makaka, Cassian Ponera, Iddy Mobby (Mtibwa Sugar), Pius Buswita (Namungo), Elias Maguri (Haijafahamika) na Michael Masinda (TZ Prisons).

MBEYA CITY

WALIOINGIA

Tariq Seif (Polisi Tanzania), Hassan Nassoro ‘Machezo’ (Dodoma Jiji), Chesco Mwasimba (Mbeya Kwanza), Sixtus Sabilo (Namungo), George Sangija (Huru), Ibrahim Ndunguli (Biashara United), Awadh Salum Juma (Mtibwa Sugar) na Mohamed Hassan (Polisi FC).

WALIOTOKA

Patson Shigala (Haijafahamika), Mpoki Mwakinyuke (Ruvu Shooting), Helbert Lukindo (Pamba), Siraji Juma, Babilas Chitembe (haijafahamika), Peter Mapunda (Pamba), Deogratius Munishi ‘Dida’ (Namungo), Edgar Mbembela (Haijafahamika), Seleman Ibrahim ‘Boban’ (Geita Gold) (Haijafahamika) na Aziz Andambwile (Singida BS).

TANZANIA PRISONS

WALIOINGIA

Khamis Mcha ‘Vialli’ (Dodoma Jiji), Yusuph Mlipili (Kagera Sugar), Michael Masinda (Ruvu Shooting), Amosi Isense (Wazito FC), Mussa Mbisa, Edwin Charles Balua (Coastal Union), Mashaka Juma ‘Kasongo’ (Huru) na Ismail Mohamed Mgunda (Jomo Cosmas FC)

WALIOTOKA

Mohamed Mkopi (Haijafahamika), Adil Buha (Haijafahamika), Salum Upuu (Haijafahamika), Gwamaka Bangu (Haijafahamika), Hassan Mshamu (Haijafahamika), Julius Kwanga (Haijafahamika), Lambert Sabyanka (Haijafahamika), Mosses Kitandu (Haijafahamika), Athanas Mdamu (Haijafahamika), Michael Bosco (Haijafahamika) na Vedastus Mwihambi (Mtibwa Sugar)

MTIBWA SUGAR

WALIOINGIA

Pascal Kitenge (Coastal Union),Nickson Kibabage (KMC), Charles Ilamfya (Simba), Cassian Ponera, Iddy Mobby, Mohamed Makaka (Ruvu Shooting), Balama Mapinduzi (Yanga), David Kameta ‘Duchu’ (Simba), Farouk Shikhalo (KMC), Eliuter Mpepo (Mbeya Kwanza), James Kotei (Singida Big Stars), Matore Jeanpipi Kalonda (Mukura FC), Adam Adam (Polisi Tanzania), Vedastus Mwihambi (Tanzania Prisons) na Hamad Kadedi (Mbeya Kwanza)

WALIOTOKA

Kelvin Sabato (Singida BS), Salum Kihimbwa (Dodoma Jiji), Jaffar Kibaya, Shaban Kado (Ihefu), Said Ndemla (Singida BS), George Makang’a, Styve Nzigamasabo, Ibrahim Ame, Baraka Majogoro, Isaac Kachwele (KMC), Riphat Msuya, Ally Makarani (JKT Tanzania) Boban Zirintusa (Haijafahamika) na Awadh Salum Juma (Haijafahamika)

KMC WALIOINGIA

George Makang’a, Styve Nzigamasabo, Ibrahim Ame, Baraka Majogoro, Isaac Kachwele (Mtibwa Sugar), Erick Vincent (Kitayosce), Bigirimana Blaise, David Kissu ‘Mapigano’ (Namungo), Farshad Mogela, Balisi Maliki (Huru), Nurdin Barola, Boniphace Maganga (Biashara United), Waziri Junior (Dodoma Jiji) na Darueshi Saliboko (Polisi Tanzania).

WALIOTOKA

Juma Kaseja (Haijafahamika), Jean Baptiste, Denis Richard (haijafahamika), Hassan Kapalata, Martin Kigi (JKT Tanzania), Farouk Shikhalo, Nickson Kibabage (Mtibwa Sugar), Hassan Kabunda (Namungo), Abbasi Kapombe (KMKM), Sudi Dondola (Ruvu Shooting), Hassan Ramadhan Kessy (Dodoma Jiji), Ally Ramadhan ‘Oviedo’ (Ihefu) na Miraji Athuman ‘Sheva’ (Geita Gold).

Chanzo: Mwanaspoti