Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dirisha la usajili kufungwa leo

Simba Yanga 2024 Dirisha la usajili kufungwa leo

Thu, 15 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dirisha la Usajili kwa klabu za Ligi Kuu ya NBC, NBC Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake 2024/2025 linatarajiwa kufungwa leo Saa 5:59 usiku. Dirisha hilo lilifunguliwa rasmi Juni 15, 2024 na kuruhusu vilabu kufanya usajili kuelekea msimu mpya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: