Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diogo Monteiro amwaga wino Leeds United

Diogo Monteiro Diogo Monteiro

Tue, 31 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Leeds United imetangaza usajili wa mlinzi Diogo Monteiro kutoka klabu ya Servette FC inayoshiriki Ligi kuu ya Uswisi.

Klabu ya Leeds United imetangaza usajili wa mlinzi Diogo Monteiro kutoka klabu ya Servette FC inayoshiriki Ligi kuu ya Uswisi. Monteiro (18) mzaliwa wa Uswisi ambaye ameiwakilisha timu ya Taifa ya Ureno chini ya miaka 15 mpaka 19 amesaini mkataba wa miaka 3½ mpaka Juni 2026.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live