Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diogo Jota nje wiki mbili Liverpool

Dogo Jota Nje Liverpool Digo Jota

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp amethibisha kwamba mshambuliaji wao Diogo Jota atakosekana kwa muda wa wiki mbili kutokana na jeraha.

Diogo Jota alipata jeraha hilo mara baada ya kufunga goli lake kwenye mchezo wa ligi kuu ya England dhidi ya Fulham pale dimba la Craven Cottage.

Hivyo Jota hatokuwa sehemu ya kikosi ambacho kitacheza kwenye mechi ya leo ya Liverpool dhidi ya Everton.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live