Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dilunga atimkia Afrika Kusini

Hassan Dilunga24 20200509 0001 Hassan Dilunga nyota wa Simba alipokuwa kwenye majukumu ya klabu yake.

Thu, 14 Apr 2022 Chanzo: eatv.tv

Kiungo wa Klabu ya soka ya Simba ,Hassan Dilunga ameondoka nchini kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kupata matibabu ya majeraha yanayomkabili kwa muda mrefu.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika Klabu ya Simba, imeeleza kuwa nyota huyo ambaye aliwahi kuitumikia Yanga, ameondoka leo nchini akielekea Afrika Kusini.

Dilunga maarufu ''HD'' amekuwa nje ya dimba kuwa muda mrefu akiuguza jeraha ambalo limemfanya asiitumikie Simba kwa muda mrefu.

Nyota huyo alijiunga na Simba mwaka 2018 na kuwa sehemu ya mafanikio ya mataji mbalimbali waliyoyatwaa Simba kwa misimu miwili mfululizo.

Chanzo: eatv.tv