Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dili zilizotiki Januari hii Ligi Kuu England

Dili Januari Dili zilizotiki Januari hii Ligi Kuu England

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: Mwanaspoti

Dili kibao za usajili zimetokea kwenye dirisha hili la Januari.Kubwa linalozungumzwa kwa sasa ni kuhusu straika Karim Benzema, atabadili timu kabla ya dirisha hili la majira ya baridi huko Ulaya kufungwa?

Timu kibao, ikiwamo Real Madrid, Manchester United, Chelsea, Arsenal na Paris Saint-Germain zimekuwa zikihusishwa na mpango wa kwenda kunasa huduma yake. Kipi kitatokea? Ngoja tuone.

Kwenye Ligi Kuu England, dirisha litafungwa Alhamisi, Februari Mosi, sawa na itakavyokuwa kwenye La Liga, Serie A, Bundesliga na Ligue 1 na kitakachotofautiana ni saa tu. Kwenye Ligi Kuu England timu zilikuwa bize kufanya maboresho kwenye vikosi vyao kwenye dirisha hili la Januari kwa maana ya waliofunguliwa mlango wa kutokea na wale waliokaribishwa kwenye timu hizo.

Nani kaingia, nani katoka kwenye timu za Ligi Kuu England katika dirisha hili la Januari?

ARSENAL

Walioingia: Hakuna

Waliotoka: Tyreece John-Jules (mkopo, Derby), Mika Biereth (mkopo, Strum Graz).

ASTON VILLA

Walioingia: Kosta Nedeljkovic (Pauni 6.5milioni, Red Star Belgrade).

Waliotoka: Kerr Smith (mkopo, St Johnstone), Finn Azaz (Pauni 2milioni, Middlesbrough), Ben Chrisene (mkopo, Blackburn), Filip Marschall (mkopo, MK Dons),Kosta Nedeljkovic (mkopo, Red Star Belgrade).

BOURNEMOUTH

Walioingia: Owen Bevan (mkopo umesitishwa, Cheltenham), James Hill (mkopo umesitishwa, Blackburn).

Waliotoka: Billy Terrell (mkopo, Dartford), Hamed Traore (mkopo, Napoli), Joe Rothwell (mkopo, Southampton), Emiliano Marcondes (mkopo, Hibernian).

BRENTFORD

Walioingia: Ryan Trevitt (mkopo umesitishwa, Exeter), Yunus Emre Konak (Pauni 3.9milioni, Sivasspor), Sergio Reguilon (mkopo, Tottenham).

Waliotoka: Charlie Goode (mkopo, Wigan), Myles Peart-Harris (mkopo, Portsmouth).

BRIGHTON

Walioingia: Adrian Mazilu (Pauni 2.5milioni, FCV Farul Constanta), Jensen Weir (mkopo umesitishwa, Blackpool), Valentin Barco (Pauni 7.9milioni, Boca Juniors).

Waliotoka: Jensen Weir (mkopo, Port Vale), Jeremy Sarmiento (mkopo, Ipswich), Yasin Ayari (mkopo, Blackburn), James Beadle (mkopo, Sheffield Wednesday), Adrian Mazilu (mkopo, Vitesse).

BURNLEY

Walioingia: Owen Dodgson (mkopo umesitishwa, Barnsley) Michael Mellon (mkopo umesitishwa, Morecambe), Benn Ward (mkopo umesitishwa, Swindon), David Datro Fofana (mkopo, Chelsea).

Waliotoka: Dara Costelloe (mkopo, Dundee), Scott Twine (mkopo, Bristol City), Owen Dodgson (mkopo, Dundee), Darko Churlinov (mkopo, Schalke), Michael Obafemi (mkopo, Millwall).

CHELSEA

Walioingia: Andrey Santos (mkopo umesitishwa, Nottingham Forest), David Datro Fofana (mkopo umesitishwa, Union Berlin).

Waliotoka: Alex Matos (mkopo, Huddersfield), Eddie Beach (mkopo, Gateshead), Ian Maatsen (mkopo, Borussia Dortmund) David Datro Fofana (mkopo, Burnley), Jamie Cumming (mkopo, Oxford United).

CRYSTAL PALACE

Walioingia: Hakuna

Waliotoka: Sean Grehan (mkopo, Carlisle), John-Kymani Gordon (mkopo, AFC Wimbledon).

EVERTON

Walioingia: Reece Welch (mkopo umesitishwa, Forest Green Rovers), Stanley Mills (mkopo umesitishwa, Oxford).

Waliotoka: Hakuna

FULHAM

Walioingia: Luciano D’Auria-Henry (mkopo umesitishwa, Cheltenham).

Waliotoka: Luke Harris (mkopo, Exeter), Luca Ashby-Hammond (mkopo, Notts County), Olly Sanderson (mkopo, Sutton), Ollie O’Neill (imefichwa, Leyton Orient).

LIVERPOOL

Walioingia: Fabio Carvalho (mkopo umesitishwa, Leipzig), Owen Beck (mkopo umesitishwa, Dundee), James Balagizi (mkopo umesitishwa, Wigan), Nat Phillips (mkopo umesitishwa, Celtic).

Waliotoka: Marcelo Pitaluga (mkopo, St Patrick’s Athletic), Fabio Carvalho (mkopo, Hull), Vitezslav Jaros (mkopo, Sturm Graz), Luke Chambers (mkopo, Wigan), Paul Glatzel (imefichwa, Swindon), Rhys Williams (mkopo, Port Vale).

LUTON TOWN

Walioingia: Fred Onyedinma (mkopo umesitishwa, Rotherham), Elliot Thorpe (mkopo umesitishwa, Shrewsbury), Aribim Pepple (mkopo umesitishwa, Bromley). Tom Holmes (Pauni 1milioni, Reading).

Waliotoka: Joe Taylor (mkopo, Lincoln), Tobias Braney (mkopo, Hayes & Yeading), Tom Holmes (mkopo, Reading).

MANCHESTER CITY

Walioingia: Claudio Echeverri (Pauni 12.5milioni, River Plate).

Waliotoka: Nahuel Ferraresi (Pauni 3.7milioni, Sao Paulo), Zack Steffen (bure, Colorado Rapids), Lewis Fiorini (mkopo, Charlton), Slobodan Tedic (bure, FK Cukaricki), Claudio Echeverri (mkopo, River Plate).

MANCHESTER UNITED

Walioingia: Charlie McNeill (mkopo umesitishwa, Stevenage).

Waliotoka: Donny van de Beek (mkopo, Frankfurt), Sergio Reguilon (mkopo umesitishwa, Tottenham), Jadon Sancho (mkopo, Borussia Dortmund), Joe Hugill (mkopo, Burton), Hannibal Mejbri (mkopo, Sevilla), Alvaro Fernandez (mkopo, Benfica), Maxi Oyedele (mkopo, Forest Green), Rhys Bennett (mkopo, Stockport), Dan Gore (mkopo, Port Vale).

NEWCASTLE UNITED

Walioingia: Hakuna

Waliotoka: Javier Manquillo (bure, Celta de Vigo).

NOTTINGHAM FOREST

Walioingia: Alex Mighten (mkopo umesitishwa, KV Kortrijk), Hwang Ui-jo (mkopo umesitishwa, Norwich City).

Waliotoka: Gustavo Scarpa (Pauni 4.3milioni, Atletico Mineiro), Andrey Santos (mkopo umesitishwa, Chelsea), Pharrell Johnson (mkopo, Swindon), Emmanuel Dennis (mkopo, Watford).

SHEFFIELD UNITED

Walioingia: Ben Brereton Diaz (mkopo, Villarreal).

Waliotoka: Harrison Neal (imefichwa, Carlisle), Benie Traore (mkopo, Nantes), Harry Boyes (mkopo, Fleetwood).

TOTTENHAM HOTSPUR

Walioingia: Dane Scarlett (mkopo umesitishwa, Ipswich), Timo Werner (mkopo, Leipzig), Radu Dragusin (Pauni 25milioni, Genoa).

Waliotoka: Hugo Lloris (bure, Los Angeles FC), Josh Keeley (mkopo, Barnet), Ashley Phillips (mkopo, Plymouth), Matthew Craig (mkopo, Doncaster), Eric Dier (mkopo, Bayern Munich), Djed Spence (mkopo, Genoa), Alfie Devine (mkopo, Plymouth) Sergio Reguilon (mkopo, Brentford), Japhet Tanganga (mkopo, Millwall), Ivan Perisic (mkopo, Hadjuk Split).

WEST HAM UNITED

Walioingia: Hakuna

Waliotoka: Thilo Kehrer (mkopo, Monaco), Krisztian Hegyi (mkopo, FC Den Bosch), Conor Coventry (Pauni 1milioni, Charlton), Gideon Kodua (mkopo, Wycombe).

WOLVES

Walioingia: Harvey Griffiths (mkopo umesitishwa, Walsall), Alfie Pond (mkopo umesitishwa, Stockport), Tyler Roberts (mkopo umesitishwa, Doncaster), Oliver Tipton (mkopo umesitishwa, Notts County), Goncalo Guedes (mkopo umesitishwa, Benfica).

Waliotoka: Fabio Silva (mkopo, Rangers), Owen Hesketh (mkopo, Kidderminster), Sasa Kalajdzic (mkopo, Frankfurt), Luke Cundle (mkopo, Stoke), Dexter Lembikisa (mkopo, Hearts), Chem Campbell (mkopo, Wycombe), Goncalo Guedes na Yerson Mosquera (mkopo, Villarreal).

Chanzo: Mwanaspoti