Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dili la Ziyech Saudi Arabia limetiki

Ziyech Deal Done Hakim Ziyech akamilisha uhamisho kujiunga Al Nassr

Mon, 26 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muda wowote Staa wa Chelsea na Timu ya Taifa ya Morocco Hakim Ziyech atajiunga na Al Nassr ya Saudi Arabia.

Winga huyo tayari amekamilisha kila kitu na muda wowote ataungana na Cristiano Ronaldo.

Ziyech atasaini Mkataba wa miaka mitatu mpaka Juni 2026 na kila kitu waliafikiana tangu Juma lililopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live