Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diego Simeone na miaka yake 12 Atletico Madrid

Diego Simeoneeeee Atl Diego Simeone na miaka yake 12 Atletico Madrid

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: Mwanaspoti

Kocha Diego Simeone yuko mbioni kusaini mkataba mpya kuendelea kuinoa Atlético de Mardid.

Tayari Madrid na Diego wameshafanya makubaliano ya mdomo (Verbal Agreement) huku kinachosubiriwa ni hatua ya kusaini mkataba lakini matakwa yote muhimu yamezingatiwa.

Baada ya takriban miaka 12 kama kocha wa Atletico Madrid, Simeone bado yuko tayari kukubali pendekezo hilo na kuendelea kusalia katika klabu hiyo.

Chanzo: Mwanaspoti
Related Articles: