Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Didier Gomes apewa timu Falme za Kiarabu

Gomes Al Ain Didier Gomes

Mon, 28 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Kocha wa Simba SC, Didier Gomes da Rosa ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Al Ain FC inayoshiriki Ligi kuu ndani ya Falme za Kiarabu (UAE).

Aliyekuwa Kocha wa Simba SC, Didier Gomes da Rosa ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Al Ain FC inayoshiriki Ligi kuu ndani ya Falme za Kiarabu (UAE). Licha ya kuwa aliwahi tumikia Simba SC kutokea Tanzania, Kocha huyo amewahi kuhudumu pia katika vilabu vya Horoya AC FC kutokea nchini Guinea, Rayon Sports kutokea nchini Rwanda, Ethiopean Coffee, Ismaily SC na timu ya Taifa Mauritania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live