Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dickson Job: Simu ya Mudathir imeibiwa

Job X Mudathir Simu Dickson Job na Mudathir Yahya

Sun, 5 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Yanga Dickson Job amemtania mchezaji mwenzake Mudathiri Yahya kwa kueleza kuwa simu aliyokuwa akitumia Mudathiri kupiga wakati akiwa amefunga bao imeibiwa.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Job ame-share picha akiwa na Mudathiri ikiambatana na ujumbe usemao “Simu ya Anko Mudathiri imeibiwa msione kimya ikipatikana basi itaendelea kuita”

Mudathiri Yahya ni mchezaji ambaye anatumia staili ya kupiga simu baada ya kufunga bao wakati akiwa kwenye ‘mechi’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: