Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diaz achagua kuitumika Timu ya Taifa ya Morocco

Brahim Diaz Zzz.jpeg Kiungo Mshambuliaji wa Real Madrid Brahim Diaz

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mshambuliaji wa Real Madrid Brahim Diaz (24) amekamilisha taratibu za kuiwakilisha timu ya Taifa ya Morocco

Kwa mujibu wa taarifa mbali mbali kutoka Spain, Diaz atakuwa sehemu ya kikosi cha Morocco kitakachocheza mechi za kirafiki dhidi ya Angola Machi 23 na dhidi ya Mauritania Machi 26.

Diaz mwenye asili ya Morocco tayari amezitumikia timu za vijana za Spain U17, U19 na U21.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live