Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diarra wa tatu CAFCL

Diarra 01 E1664965062636 1170x650 Diarra wa tatu CAFCL

Mon, 4 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipa wa kikosi cha Yanga SC, Djigui Diarra ameibuka kuwa kipa namba tatu anaeongoza kwa kuokoa michomo (Saves), katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mbali na kucheza Mchezo mmoja tu.

Kipa wa kikosi cha Yanga SC, Djigui Diarra ameibuka kuwa kipa namba tatu anaeongoza kwa kuokoa michomo (Saves), katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mbali na kucheza Mchezo mmoja tu. Orodha ya Magolikipa hao watatu ni: Goitseone Phoko kutokea Jwaneng Galaxy ya Nchini Botswana akiwa na uwiano wa 6.0 Felix Kyei akitokea Medeama ya Nchini Ghana akiwa na uwiano wa 5.5 Djigui Diarra kutokea Yanga SC ya nchini Tanzania akiwa na uwiano wa 5.0

Chanzo: www.tanzaniaweb.live