Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diarra ni bora kuliko Ayoub Lakred - Ambangile

Diarra Ni Bora Kuliko Ayoub Lakred   Ambangile Diarra ni bora kuliko Ayoub Lakred - Ambangile

Thu, 21 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa soka George Ambangile, amesema Diarra ni bora kuliko kipa wa Simba SC, Ayoub Lakred pindi wanapokuwa na mpira mguuni.

Amesema, Diarra ni daraja la juu kulinganisha na Aayoub katika kipengele wanapokuwa na mpira japo pia Ayoub kuna vitu anamzidi Diarra hususan katika mipira ya krosi kutokana na kuwa mrefu zaidi.

Takwimu za mchezo wa Simba na Yanga Kimataifa katika michezo yao iliyopita;

Diarra kagusa mpira mara 32, Akipiga pasi 26, 21 zikiwa pasi sahihi, Huku Ayoub kagusa mpira mara 46, Kapiga pasi 30, 19 zikiwa pasi sahihi, Kwa takwimu hizi ni wazi kuwa Diarra ni bora akiwa na mpira mguuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live