Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diarra kutimkia Kaizer Chiefs?

Diarra 01 E1664965062636 1170x650 Djingui Diarra.

Fri, 17 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika Kusini wametuma ofa kwa klabu ya Yanga wakihitaji huduma ya kipa namba moja raia wa Mali Djingui Diarra.

Klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika Kusini wametuma ofa kwa klabu ya Yanga wakihitaji huduma ya kipa namba moja raia wa Mali Djingui Diarra. Yanga ipo tayari kumuuza kipa huyo na endapo Kaizer watafikia kiasi ambacho Yanga wanakihitaji basi mabingwa hao mara tatu mfululizo wataenda kumchukua Ley Matampi wa Coastal Union kama mbadala Diarra ambaye wanalingana katika clean sheet za ligi kuu bara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live