Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diarra awania Tuzo ya Golikipa Bora CAF 2023

Diarra Lawama Golikipa wa Yanga, Djigui Diarra

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemtaja Golikipa wa Yanga SC na Timu ya Taifa ya Mali, Djigui Diarra kuwa miongoni mwa magolikipa 10 wanaowania Tuzo ya Golikipa Bora Mwaka 2023 Barani Afrika.

Orodha ya wanaowania Tuzo hiyo itazame hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: