Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diarra aukubali mziki wa kipa wa Azam FC

Diuarra X Mustapha Diarra aukubali mziki wa kipa wa Azam FC

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wakifanikiwa kunyakua Ubingwa wa CRDB Cup huku kipa wa Azam FC Mohamed Mustapha akionesha lkiwango safi.

Mlinda mlango wa Yanga Djugui Diarra amemwagia kipa huyo sifa zake akisema,

“ Umahiri wa kipa wa Azam FC Mohammed Mustapha ulinipa wakati mgumu kuwaelewesha wenzangu ni namna gani wanatakiwa wafanye ili kumfunga. Haikuwa kazi rahisi kukosa penati mbili za kwanza kwa wachezaji wenzangu. Niliamini wengi wametoka mchezoni na kuamini mechi imeisha, hivyo nikawa na kazi ya ziada kuzungumza na wenzangu kwa vitendo, nafurahi mambo yakabadilika na şaşa sisi ndiyo Mabingwa mara tatu mfululizo “ Djigui Diarra

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: