Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diarra, Aziz Ki hawapo Kambini Yanga

Stephane Aziz KI VS Diarra Diarra, Aziz Ki hawapo Kambini Yanga

Fri, 29 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amesema bado wachezaji Stephan Aziz Kii na nyanda Djigui Diarra hawajaripoti kambini.

Kocha huyo ameeleza kuwa wachezaji hao walipaswa kuwa wamefika lakini imekuwa ndivyo sivyo hivyo kuna uwezekano akawakosa kuelekea mchezo wa kesho.

Nyota hao walikuwa kwenye majukumu ya timu za taifa na walitarajiwa kujiunga na kambi ya timu hiyo kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Mamelodi Sundowns.

Una maoni, tuandikie

Chanzo: www.tanzaniaweb.live