Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diarra, Aziz KI kujiunga na kikosi leo

Aziz Ki , Diarra Diarra, Aziz KI kujiunga na kikosi leo

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Yanga Stephane Aziz Ki pamoja na Djigui Diarra wanatarajiwa kujiunga na kikosi leo wakitokea kwenye timu zao za Taifa kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya CR Belouizdad.

Nyota wa klabu ya Yanga Stephane Aziz Ki pamoja na Djigui Diarra wanatarajiwa kujiunga na kikosi leo wakitokea kwenye timu zao za Taifa kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya CR Belouizdad. Yanga ipo nchini Algeria wakijiandaa kwa mchezo wao wa kwanza wa Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: