Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diara, Aziz Ki kuuangana na wenzao kambini leo

Diara, Aziz Ki Kuuangana Na Wenzao Kambini Leo.jpeg Diara, Aziz Ki kuuangana na wenzao kambini leo

Thu, 28 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki na kipa Djigui Diarra wanatarajiwa kuwasili hii leo nchini Tanzania.

Wachezaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki na kipa Djigui Diarra wanatarajiwa kuwasili hii leo nchini Tanzania. Diarra na Aziz Ki moja kwa Moja wataungana na Kambini na Wachezaji wenzao tayari kwa Maandalizi ya Mwisho kuelekea Mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Mamelodi Sundowns siku ya Jumamosi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live