Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Di Maria ajiunga Benfica

Angel Di Maria Officially Joins The Eagles Snubs Lionel Messi Reunion.jpeg Angel Di Maria

Thu, 6 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid, Manchester United na PSG Angel Di Maria amejiunga na klabu ya Benfica ya Ureno kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake na Juventus kufikia ukomo.

Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid, Manchester United na PSG Angel Di Maria amejiunga na klabu ya Benfica ya Ureno kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake na Juventus kufikia ukomo. Di Maria (35) raia wa Argentina amesaini mkataba wa mwaka mmoja na anarejea klabuni hapo ikiwa ni miaka 13 tangu aondoke kuelekea Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live