Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Di Maria, Bremer warejea kikosini

Argentina Di Maria Angel Di Maria

Mon, 7 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Juventus Massimiliano Allegri, anatazamia wachezaji wake kadhaa waliopata majeraha kurejea uwanjani akiwemo Di Maria na Bremer baada ya kukosekana kwenye michezo kadhaa ya timu hiyo.

Massimiliano anatarajia urejeo huo ili kupata wachezaji XI kwaajili ya kuwavaa Intermilan kwenye Dabi yao ya leo inayotarajiwa kupigwa majira ya saa 22:45 Usiku huku Dusan Vlahovic akiwa bado hajawa fiti kabisa.

Vlahovic hajashiriki mchezo akiwa na Juve tangu walipopoteza katika Ligi ya Mabingwa dhidi ya Benfica katikati ya wiki iliyopita, na huenda mshambuliaji huyo wa Serbia arejee kwa wakati kuivaa Inter na Allegri akafichua kuwa anaweza akaukosa mchezo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live