Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Depay avunjiwa Mkataba Atletico Madrid

Memphis Depay.jpeg Memphis Depay

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Uholanzi, Memphis Depay na Atlético Madrid wamefikia makubaliao ya kusitisha mkabata baina yao.

Mshambuliaji wa Uholanzi, Memphis Depay na Atlético Madrid wamefikia makubaliao ya kusitisha mkabata baina yao. Memphis alikua na mkataba Atletico Madrid hadi juni 2025 hivyo baada ya kuafikiana kuachana Memphis atakuwa mchezaji huru kuelekea dirisha lijalo la kiangazi,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live