Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Deo Kanda ruksa kuwavaa Yanga

Deo Kanda.jpeg Deo Kanda ruksa kuwavaa Yanga

Sat, 19 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MTIBWA Sugar imethibitisha kuwa muda wowote kuanzia sasa, itaanza kumtumia winga wao raia wa DR Congo, Deo Kanda baada ya kila kitu kukamilika.

Msemaji wa klabu hiyo, Thobias Kifaru, amesema kuwa walikuwa wanashindwa kumtumia nyota huyo kwa sababu kuna vitu kuhusu uhamisho wake vilikuwa havijakamilika ila kwa sasa kila kitu kipo sawa.

Kifaru alisema: “Tunatarajia kuanza kumtumia Deo Kanda hivi karibuni. Changamoto ilikuwa upande wa wenzetu kushindwa kutuma kibali chake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live