Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Denis Nkane avunjika, Daktari athibitisha

Nkane Denis Dd Denis Nkane

Wed, 28 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga kinda wa klabu ya Yanga Denis Nkane atakuwa nje kwa wiki sita akipatiwa matibabu baada ya kuvunjika mfupa mdogo unaosaidia nyonga kujikunja, kwenye mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao Yanga ilishinda 3-0.

Winga kinda wa klabu ya Yanga Denis Nkane atakuwa nje kwa wiki sita akipatiwa matibabu baada ya kuvunjika mfupa mdogo unaosaidia nyonga kujikunja, kwenye mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao Yanga ilishinda 3-0. Taarifa ya Daktari wa Yanga Moses Etutu amesema Denis atatibiwa kwa muda wa wiki nne na wiki mbili za mwisho ni za kuanza mazoezi mepesi kabla ya kurejea kikosini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live