Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Denis Kitambi amalizana na mabosi Geita Gold

Denis Kitambi 1080x640 Kocha Denis Kitambi

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Denis Kitambi inasemekana ameshakamilisha dili la kujiunga na Geita Gold FC ya Geita, baada ya kuachana na Namungo FC.

Kocha Denis Kitambi inasemekana ameshakamilisha dili la kujiunga na Geita Gold FC ya Geita, baada ya kuachana na Namungo FC. Denis Kitambi ameachana na Namungo FC, baada ya kupata ofa kubwa zaidi ya aliyokuwa anaipata na amekubali ofa ya kujiunga na Geita Gold FC ambayo ipo kwenye hatua za mwisho kuachana na Hemed Morocco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: