Tue, 21 May 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Dejan Georgijević ameshinda kesi ya madai dhidi ya klabu ya Simba aliyoifungua (FIFA).
Klabu ya Simba imepewa siku (45) kumlipa Tsh 500 Million kwa kosa la kukiuka mkataba wake wakati anachezea Simba.
Endapo Simba watashindwa watafungiwa usajili. Dejani aliitumikia Simba SC kwa siku (54).
Chanzo: www.tanzaniaweb.live