Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Decline Rice anapewa sifa zisizostahili

Decline Riceeeee Kiungo wa England Decline Rice

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Ireland James Mc Clean ameweka wazi kuwa sifa anazopewa kiungo wa klabu ya Arsenal na timu ya Taifa ya England Declan Rice hazimfai kutokana na uwezo anaoonyesha.

"Nafikiri Declan Rice anapewa sifa ambazo hastahili na vyombo vya habari vya England.Yule sio mchezaji wa viwango vikubwa Duniani."

"Rodri anaweza kuamrisha mchezo, Kroos anaweza kuamrisha mchezo ila Rice hawezi.Ni mzuri kwenye kile anachokifanya lakini kwa sifa anazopewa nadhani hazimfai."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live