Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Decline Rice: Goli langu nitaliangalia usiku mzima

Decline Riceeee.jpeg Kiungo wa Arsenal, Decline Rice akishangilia bao

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mara baada ya Jana kufanikiwa kuipa Arsenal alama tatu dhidi ya Luton Town kwa bao lake la ushindi dakika za jioni.

Kiungo wa Arsenal Decline Rice anasema akifanikiwa kufunga bao katika mechi basi hutumia muda mwingi kulitazama bao hilo.

Rice anasema hali hiyo inakuja kwa sababu yeye huwa hafungi magoli mara kwa mara anapokuwa Uwanjani.

Akizungumza mara baada ya Mchezo jana Rice anasema;

"Nikifunga goli huwa narudia rudia kuangalia sana, kwasababu huwa sifungi mara nyingi, hili goli naenda kuliangalia usiku mzima".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live