Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dean Smith achukua mikoba ya Rodgers Leicester City

Dean Smith Appointed Dean Smith ataiongoza Leicester City mpaka mwisho wa msimu

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Leicester City imemteua aliyekuwa kocha wa Norwich City na Aston Villa, Dean Smith kuwa kocha wa muda/mpito klabuni hapo kwa mkataba mpaka mwisho wa msimu.

Klabu ya Leicester City imemteua aliyekuwa kocha wa Norwich City na Aston Villa, Dean Smith kuwa kocha wa muda/mpito klabuni hapo kwa mkataba mpaka mwisho wa msimu. Smith (52) raia wa England anatua klabuni hapo kuchukua mikoba ya Brendan Rodgers aliyefutwa kazi kufuatia msururu wa matokeo mabaya yaliyoiacha klabu hiyo nafasi ya 19 kwenye msimamo wa EPL.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: