Rasmi Klabu ya AS Roma ya Italia imemtangaza,Daniele De Rossi kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Awali De Rossi alitangazwa mwezi Januari kuwa kocha wa muda wa timu hiyo mpaka mwishoni mwa msimu huu baada ya uongozi wa klabu hiyo kumfuta kazi kocha Jose Mourinho.
Rasmi Klabu ya AS Roma ya Italia imemtangaza,Daniele De Rossi kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Awali De Rossi alitangazwa mwezi Januari kuwa kocha wa muda wa timu hiyo mpaka mwishoni mwa msimu huu baada ya uongozi wa klabu hiyo kumfuta kazi kocha Jose Mourinho. Tangu akabidhiwe kukinoa kikosi hiko ameiongoza Roma kwenye michezo 16 huku akifanikiwa kushinda michezo 11,sare michezo 3 na kupoteza michezo miwili 2.