Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

De Ligt atua Man United

De Ligt (1)g De Ligt atua Man United

Tue, 16 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na Bayern Munich juu ya kumsajili beki Matthijs De Ligt kwa ada ya Euro milioni 42 itakayolipwa kwa mafungu.

Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na Bayern Munich juu ya kumsajili beki Matthijs De Ligt kwa ada ya Euro milioni 42 itakayolipwa kwa mafungu. De Ligt (24) raia wa Uholanzi amekubali mshahara wa pauni 170,000 kwa wiki huku akitarajiwa kusaini mkataba wa kuwatumikia Mashetani hao Wekundu mpaka Juni 2029.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live