Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

De Jong nje mwezi mzima

Pedri X De Jong Kiungo wa Fc Barcelona Frenkie De Jong

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Fc Barcelona Frenkie De Jong anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa kipindi kisichopungua mwezi mmoja kutokana na majeraha yanayomkabili.

Kiungo wa Fc Barcelona Frenkie De Jong anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa kipindi kisichopungua mwezi mmoja kutokana na majeraha yanayomkabili. De Jong alipata majeraha ya kifundo cha mguu wakati Barcelona ikivaana na Real Madrid hapo jana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live