Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

De Gea atemwa Kombe la Dunia

David De Gea Man Utd 3436202?fit=800%2C600&ssl=1 De Gea atemwa Kombe la Dunia

Fri, 28 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa wa Man United David De Gea (31) hatokuwa sehemu ya wachezaji wa Timu ya Taifa ya Hispania watakaoshiriki Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar.

De Gea atakosekana kutokana na kuachwa katika list ya wachezaji 55 wa kikosi cha awali cha Hispania kilichopo chini ya Kocha Luis Enrique na list hiyo itachujwa na baadae kubaki 26 tu.

List hiyo ina magolikipa watano wakiwemo makipa wenzake kutoka EPL Robert Sanchez wa Brighton, Kepa wa Chelsea na David Raya wa Brentford, De Gea hajaitwa kwenye kikosi cha Hispania toka Oktoba 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live