Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

De Gea arudi Old Trafford

De Gea United David De Gea

Wed, 11 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nguli wa soka wa Manchester United, David De Gea amerejea klabuni hapo Leo kwa ajili ya kutazama mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa Wanawake kati ya Manchester United dhidi ya Paris Saint-German.

De Gea aliondoka Manchester United baada ya kushindwa kuafikiana kuhusu mkataba mpya baada ya mkataba wake wa awali na Mashetani hao Wekundu kufikia ukomo.

Kipa huyo raia wa Uhispania ambaye hadi sasa ni mchezaji huru aliondoka Old Trafford kama mchezaji huru baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa misimu 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live