Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

De Gea apata Timu La Liga

David De Gea Record David De Gea

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa wa zamani wa klabu ya Manchester United David De Gea yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Real Betis ya nchini Hispania kwa ajili ya kujiunga na kikosi hicho mwezi January kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini Hispania.

Golikipa wa zamani wa klabu ya Manchester United David De Gea yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Real Betis ya nchini Hispania kwa ajili ya kujiunga na kikosi hicho mwezi January kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini Hispania. De Gea amekuwa hana timu kwa takribani miezi minne sasa tangu alipoachana na klabu yake ya zamani ya Manchester United kwenye dirisha kubwa la usajili la majira ya kiangazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live