Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

De Gea amkataa Cristiano Ronaldo

Manchester United Wambembeleza De Gea Kurejea Old Trafford David De Gea

Sun, 19 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipa wa zamani wa Manchester United David de Gea amekataa mkataba wa pauni 500,000 kwa wiki ambao utampa nafasi ya kuungana tena na mchezaji mwenzake wa zamani wa Manchester United Cristiano Ronaldo katika klabu ya Saudia ya Al-Nassr.

Kipa wa zamani wa Manchester United David de Gea amekataa mkataba wa pauni 500,000 kwa wiki ambao utampa nafasi ya kuungana tena na mchezaji mwenzake wa zamani wa Manchester United Cristiano Ronaldo katika klabu ya Saudia ya Al-Nassr. De Gea kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake ndani ya kikosi Cha Mashetani wekundu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live