Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

De Gea agomea mkataba Man United

David De Gea De Gea agomea mkataba Man United

Thu, 30 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlindalango David De Gea amekataa ofa ya kwanza ya Manchester United ya mkataba mpya, lakini kutakuwa na awamu ya pili ya mazunumzo.

Kwa mujibu wa Laurie Whitwell, David De Gea ametakiwa kupunguza mshahara wake ili aweze kusalia Manchester United.

Hata hivyo mwenyewe anaona kiwango chake msimu huu bado kinamuweka kama mmoja wa wachezaji muhimu kwa Erik Ten Hag na malipo yanapaswa kufuatwa ipasavyo.

Mkataba wake unoelekea ukingoni aliusaini mwaka 2019 akipokea mshahara wa £375,000 kwa wiki. Ndiye mchezaji anayelipwa fedha ndefu zaidi katika klabu ya Mancheset United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: