Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

De Bruyne arudi mazoezini Man City

DE Bruyne .jpeg Kiungo wa Man City, Kevin de Bruyne

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Man City, Kevin de Bruyne ameanza mazoezi mepesi huku ukarabati wa yeye kurejea uwanjani ukiwa unakaribia.

Kiungo wa Man City, Kevin de Bruyne ameanza mazoezi mepesi huku ukarabati wa yeye kurejea uwanjani ukiwa unakaribia. Itakuwa ni wakati sahihi kurejea kwake haswa kwa kipindi hiki ambacho Manchester City anapata wakati mgumu kupata matokeo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live