Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

De Bruyne apasua ukweli Uhamisho wake kwenda Saudi Arabia

Kevin De Bruyne KDB Kiungo wa Manchester City Kevin de Bruyne

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukweli na uwazi ... Respect KDB . ( Sio wachezaji wengine wanapenda kutuona watoto eti hawafuati hela Saudi Arabia )

Kevin De Bruyne alipoulizwa kuhusu kucheza Saudi Arabia " Saudi ? Kwa umri wangu lazima ufungue mlango wa kila kitu . Tunaongelea kuhusu hela nyingi sana katika hatua ya mwisho wa maisha yangu ya soka , lazima ufikirie kuhusu hilo "

" Kama nikicheza huko kwa miaka miwili nitavuna kiasi kikubwa sana cha fedha , kabla ya hapo ilinibidi nicheze kwa miaka 15 na hata hivyo inawezekana nisifikie hizo fedha pia za miaka miwili "

"Nimebakiza mwaka mmoja ndani ya Man City kwahiyo utakuwa muda wa kufikiria na kuamua kuhusu mustakabali wangu "

Chanzo: www.tanzaniaweb.live