Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

De Bruyne ana nuksi gani na Fainali ya UEFA?

KDB Final.jpeg Kiungo wa Man City, Kevin De Bruyne

Mon, 12 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kevin De Bruyne ametumia dakika 35 tu uwanjani usiku wa Jumamosi kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Inter Milan, alilazimika kutoka baada ya kuumia.

Kumbukumbu zinaonesha KDB hana bahati na fainali za UEFA Champions League kwani juzi ilikuwa ni mara ya pili mfululizo anatolewa kwa kuumia.

Mwaka 2021 kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Chelsea, De Bruyne aliondoka uwanjani kufuatia kuumia vibaya uso baada ya kugongana na Antonio Rudiger.

Bahati nzuri kwa msimu huu walibahatika kushindwa Ubingwa huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live