Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dawa za kuongeza nguvu zamponza Papu Gomez

Papu Gomes Mshambuliaji wa Argentina Papu Gómez

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Argentina Papu Gómez amepigwa marufuku kutojihusisha na soka la kulipwa kwa miaka miwili ijayo.

Gómez alifeli majaribio ya kuzuia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini alipopatikana na virusi mnamo Oktoba 2022 huko Sevilla kabla ya Kombe la Dunia.

Timu ya Monza ya Italia ambayo mchezaji huyo anacheza imethibitisha kuwa wamepewa taarifa na FIFA kuhusu kifungo cha mchezaji wao huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live