Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

David Johnson afariki Dunia

David Johnson David Johnson

Thu, 24 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa England ambaye pia aliwahi kuichezea Liverpool na Everton, David Johnson (71) amefariki dunia.

Nyota wa zamani wa England ambaye pia aliwahi kuichezea Liverpool na Everton, David Johnson (71) amefariki dunia. Mshambuliaji huyo alicheza mara 213 na kushinda magoli 78 katika miaka 6 akiwa Anfield. Amewahi pia kuwa kwenye kikosi kilichoshinda Mataji 4 ya Ligi, Makombe 3 ya Uropa, Makombe 3 ya Ligi na UEFA Super Cup.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live