Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Danny Drinkwater atundika daluga

Drink Water Daluga Dany Drinkwater atundika daluga

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa Manchester United, Leicester City na Chelsea, Danny Drinkwater ametangaza kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 33.

Kiungo wa zamani wa Manchester United, Leicester City na Chelsea, Danny Drinkwater ametangaza kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 33. Drinkwater raia wa England ambaye alianza maisha yake ya soka kwenye shule ya vipaji ya Manchester United alikuwa mmoja wa nyota walioisaidia Leicester City kutwaa ubingwa wa kushangaza wa Ligi Kuu England msimu wa 2015-16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live