Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Danilo ajipiga kitanzi Juvetus mpaka 2025

Danilo Juventus Contarct Danilo

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Juventus, Danilo ameongeza Mkataba wa kuendelea kukipiga Juventus mpaka mwaka 2025.

Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester City amekuwa na mchango mkubwa klabuni hapo na sasa ni Nahodha Msaidizi.

Danilo amejiunga na Juventus mwaka 2019 akitokea kwa wababe wa England, Manchester City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live