Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dani Alves kizimbani kwa unyanyasaji wa kingono

Dani Alves Pp Dani Alves.

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Beki’ wa zamani wa ‘Klabu’ ya #Barcelona na ‘timu’ ya Taifa ya Brazil, Dani Alves anatarajia kufika mahakamani kujibu mashtaka ya tuhuma za unyanyasaji wa kingono.

Mchezaji huyo mwenye umri wa 40 anakabiliwa na mashitaka hayo ya kumnyanayasa kingono mwanamke mwenye umri wa miaka 23 na endapo atakutwa na hatia anaweza kuhukumiwa kifungo cha miaka minne au 15 jela.

Licha ya #DaniAlves kukamatwa Januari 20 mwaka huu na kuendelea kusota chini ya kizuizi mchezaji huyo amekana mashitaka hayo yanayo mkabili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live