Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dani Alves aachiwa huru

Dani Alves Legend Status Dani Alves aachiwa huru

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama ya juu katika Jiji la Barcelona nchini Hispania imeamuru kuwa mchezaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona Dani Alves aachiliwe huru kutoka gerezani kwa dhamana mara baada ya wawakilishi wake kulipa kiasi Cha € Milioni Moja

Ufafanuzi ni kwamba ,Alves Bado ataendelea kuwa chini ya uangalizi maalumu wa kiulinzi kwa amri ya mahakama na anatakiwa kuwasili mahakamani kila wiki mara Moja mpaka pale hukumu yake ya miaka 4 na nusu itakapomalizika rasmi.

Alves alihukumiwa miaka minne na nusu jela kwa kosa la kumnyanyasa mwanamke mmoja kingono

Chanzo: www.tanzaniaweb.live