Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Daktari afunguka majeraha ya Aucho aliopata dhidi ya Bamako

Auch Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho

Mon, 27 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Daktari wa Yanga, Moses Etutu amesema kiungo wa kimataifa wa Uganda, Khalid Aucho anaendelea vizuri baada ya kupata jeraha kwenye mchezo wa jana dhidi ya REAL Bamako ya Mali.

“Tulidhani amepata jeraha la goti, lakini baada ya kumuangalia tukagungua alipata michubuko mikali chini ya goti baada ya kukanyagwa.

“Tumempatia matibabu na anaendelea vizuri kabisa. Sio jeraha la kumfanya akose mchezo kwenye mechi zinazofata,”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live