Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Daktari: Okrah amevunjika mishipa ya pua

Okrah Amevunjika Pua Daktari: Okrah amevunjika mishipa ya pua

Fri, 5 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Jana Mchezaji wa Yanga Augastine Okrah kupata majeraha kwenye mchezo dhidi ya Kvz Leo daktari wa yanga ametoa taarifa akieleza hali ya Okrah

Baada ya Jana Mchezaji wa Yanga Augastine Okrah kupata majeraha kwenye mchezo dhidi ya Kvz Leo daktari wa yanga ametoa taarifa akieleza hali ya Okrah "Baada ya kufanya vipimo zaidi tulibaini amevunjika baadhi ya mifupa ya kwenye pua, lakini tunashukuru anaendelea vizuri"- Daktari wa Yanga

Chanzo: www.tanzaniaweb.live