Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dabo ashikilia dili la Tepsie Evance

Tepsie Evans Ev Tepsie Evance

Sun, 30 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam inadaiwa kuwa ipo mbioni kumpa nafasi nyingine winga Tepsie Evance (21) baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo kwa KMC.

Klabu ya Azam inadaiwa kuwa ipo mbioni kumpa nafasi nyingine winga Tepsie Evance (21) baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo kwa KMC. Inaelezwa kuwa baadhi ya viongozi wa timu hiyo wanahitaji kumbakisha Tepsie aliyekulia kwenye akademi yao licha ya kuwa na shutuma za utovu wa nidhamu na sasa dili hilo linasubiri baraka za Kocha Youssouph Dabo kuamua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live