Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DTB mziki mwingine Championship

Dtb Fcccc.jpeg Kikosi cha DTB

Sun, 26 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

TIMU ya DTB imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi ya kuwania kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ijulikanayo kama Championship baada ya ushindi wa 5-3 dhidi ya wenyeji, Gwambina FC Uwanja wa Gwambina, Misungwi mkoani Mwanza.

DTB inafikisha pointi 30 na kuendelea kuongoza ligi hiyo kwa pointi nne zaidi ya Ihefu SC inayofuatia, wakati Gwambina inaendelea kushika mkia ikibaki na pointi zake nne baada ya kucheza mechi 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live